Community Development Trust Fund of Tanzania Non-governmental Organisation
CDTF - Taasisi isiyo ya ki serikali inayojishughulisha zaidi na Maendeleo ya jamii katika nyanja tofauti kwa mikoa yote Tanzania. Ikiwa imejikita zaidi katika Kilimo, Elimu, Afya n.k. Tumekuwapo kwa muda mrefu tangu mwaka 1962 ilipoanzisha na marehemu lady chesham kwa ajili ya maendelo ya Jamii. Pia tumeshirikiana na taasisi/asasi mbalimbali za kijamii zinazofanya kazi zinazoshabihiana. kwa ufadhili wa mashirika tofauti ndani na nje ya nchi.